Pata vifaranga vya kuku wa kienyeji toka Bena quality chicks.Tunao kuku aina ya malawi, chotara, Rhode Island Red, Barreck Rock, Bata Mzinga,tunauza vifaranga kila wiki, tunatoa ushauri kwa wateja wetu wanonunua vifaranga.tutakushauri kuhusu chanjo,madawa na chakula.chotara wetu wamechanganywa...