Recent content by ben martin

  1. ben martin

    SoC02 Mazingira na uhai wetu

    Wadau karibu sana msome andiko langu, mtapata cha kujifunza. Naomba pia kura zenu bila kusahau kulike na kutoa maoni yenu. Karibu sana.
  2. ben martin

    SoC02 Mazingira na uhai wetu

    Asante Sana Morismoris
  3. ben martin

    SoC02 Mazingira na uhai wetu

    MAZINGIRA NI UHAI WETU Mazingira yanatengenzwa na vitu vingi sana. Vitu hivyo vinaonekana na vingine havionekani, vipo vilivyo hai na vingine haviko hai. Mfano wa vitu hivyo ni pamoja uoto ukihusisha majani vichaka, miti na misitu minene. Pia kuna hewa katika anga mfano Oksijeni, Kaboni...
Back
Top Bottom