Recent content by be saved

  1. B

    JamiiForums Tanzania Msaada:: Bei ya miwa dsm ni kiasigani kila mua.. Na soko lipowapi wapendwa...!!?

    Mkuu ninahitaji mnunuzi wa miwayangu au soko la miwa dar... Nipo mpwapwa tubugwe.... Endapo nitapata mnunuzi dar nitamletea kwa bei ya sh 1500 kila mua. Na endapo atakuja kuinunua miwayangu shambani nitamwuzia kwa sh 1000.. Ingawa bado ndiyo kwanza ninaipanda niliona nivyema nitafute soko ili...
  2. B

    JamiiForums Tanzania Msaada:: Bei ya miwa dsm ni kiasigani kila mua.. Na soko lipowapi wapendwa...!!?

    Ni kweli Mkuu usemavyo.. Be blessed..
  3. B

    JamiiForums Tanzania Msaada:: Bei ya miwa dsm ni kiasigani kila mua.. Na soko lipowapi wapendwa...!!?

    Samahani..! Mkuu...nikwamba, nahitaji soko la miwa.. Tena ikiwezekana nipate hata dalali mkuu ..nahitaji ninufaike na hichi kilimo kwani ninalima kibiashara... Na miwayangu huwa si mifupi ni mirefu sana.. Nahitaji uhakika wa soko.. Mkuu
  4. B

    JamiiForums Tanzania Msaada:: Bei ya miwa dsm ni kiasigani kila mua.. Na soko lipowapi wapendwa...!!?

    Mkuu..! Ni kwamba.. Nahitaji nijue bei ya miwa na upanawa soko.. Kwani ikiwa bei ni sh2000-3000 nipotayali kupeleka mwenyewe gadi kwa mteja kwa bei ya 1500..kila mua... Napia kama ni atakuja yeye mwenyewe shamani ..nitamuuzia kwa 1000 kila mua Mkuu...?!
  5. B

    JamiiForums Tanzania Msaada:: Bei ya miwa dsm ni kiasigani kila mua.. Na soko lipowapi wapendwa...!!?

    Mm ni mkulima wa miwa na huwa nalima ile miwa myekundu: ..changamoto ni kwamba huwa naiuza miwayangu shambani tena kwa wale wauzaji wa rejareja nahitaji msaada wa solo Wakuu.. Msaada..
Back
Top Bottom