Recent content by BARANGA MPINA

  1. B

    SoC02 Mbaraka Mwinshehe na maonyesho ya Wajapan mwaka 1970

    “TEKINOLOJIA HUWA HAIOMBWI HUIBWA, HUCHUKULIWA KWA HILA” Mwanamuziki Mbarak Mwinshehe aliacha kumbukumbu ya wimbo wake; “kwanza tunatoa shukrani kwa serikali yetu ya Tanzania. Kwa kutupatia nafasi ya kwenda Osaka Japan, kwenye maonyesho ya Ulimwengu ya mambo yote ya viwanda na biashara. Mwaka...
  2. B

    SoC02 Walimu, wapeni kazi watoto wanaofaulu darasani

    NI kuchokoza fikra tu Mkuu, kwamba likifanyika mashuleni basi wanafunzi watafeli, hiyo inaonesha kuna mahali tumekwama, na hapo mahali panatakiwa kuboreshwa
  3. B

    SoC02 Walimu, wapeni kazi watoto wanaofaulu darasani

    Mwalimu John alikuwa akifundisha katika shule moja ya umma, katika kufundisha kwake Kwa miaka kadhaa, utendaji kazi wake umekuwa watofauti Sana na walimu wenzake. Ilifikia hatua walimu wenzake walishindwa kumuelewa kabisa, hali iliyopelekea utendaji wake wa kazi kuwa ni wa Maswali mengi sana...
Back
Top Bottom