Habari za majukumu ndugu zangu.
Mimi ni kijana wa miaka 19 ni mzaliwa wa mwanza ila kwasasa naishi pwani mlandizi nilikuja pwani mwaka juzi kuendeleza kipaji changu na nilijiunga na team ya vijana ruvushooting, nilifanya mazoezi mwaka mzima pale lakini kwa Bahati mbaya nilipata injury ya goti...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.