Recent content by Bai-mai

  1. B

    JamiiForums Tanzania Shamba heka kumi kiwangwa

    Shamba heka kumi linauzwa milioni 15 tsh. maelewano if serious buyer.Shamba lipo Kijiji cha Msinune, Bagamoyo/Msata road karibu na Kiwangwa. Lipo kilomita 7 kutoka barabara ya Bagamoyo/Msata, njia ya kwenda kwenye shamba la mheshimiwa JK. kwa maongezi serious +255769-942-342.
Back
Top Bottom