Mkuu kuhusu memory wako vizuri kwasababu wazazi wao wako very active, ila tu hawa mbwa kwasababu wanapenda sana michezo ukiwaacha na watoto uwe nao karibu sana. Wanapenda kung'ata wakidhani wanacheza kumbe wanamuumiza.
Kwasasa mbwa wote wakubwa na wadogo wanakula nyama(kwenye mabucha wakikata nyama kuna pumba zile zinazodondoka) au samaki (huwa ninafuata ferry yale mabaki wakisafisha utumbo) halafu nachanganya na pumba za mchele au unga wa ugali
Ninauza mbwa wakali kwa ajili ya ulinzi
Aina: MALI DUTCHIE DOG
Mbwa hawa ni mchanganyiko wa baba yao ambae ni Dutch Shepherd na mama yao ambae ni Belgian Malinois
Umri : 3.5months
Bei: 300,000/- kwa mbwa mmoja wamekwishapata chanjo
Walipo: Kigamboni-Kibada
Mawasiliano: 0713621678 au...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.