Recent content by Baba Masagu

  1. B

    Uchaguzi 2020 Kituo nilipopiga kura hakuna wakala wa CHADEMA wala ACT-Wazalendo

    Niliwaambia kitambo. Ukatibu wa chama taifa sio kitu cha ilimradi
  2. B

    Uchaguzi 2020 Kuamini kwamba Lissu alisafiri angani kutumia helikopta bila kibali cha TCAA ni kujidanganya sana!

    Waongo wale . Waliomba kibali cha mabadiliko saa 3 ili wapae saa nne. Ile chopa ilikua na kibali cha kurudi kwao Nairobi. Pamoja na hayo ruhusa ilitolewa ila waliamua kudanganya umma kwa maslahi yao tu.
  3. B

    Pascal Mayalla aitaka TCRA iufungie mtandao wa Twitter kwani kuna mambo machafu yanayoendelea huko

    Mitandao mnaitumiaga vibaya kuhamasisha uvunjifu wa amani. Angalia tunavyopiga kura kwa amani na utulivu. Kimya kimya tunampaisha JPM . Hii ndio Tanzania bwana. Amani na utulivu , JPM kweli yupo vizuri.
  4. B

    JWTZ na Polisi nao hupiga kura kwenye Uchaguzi Mkuu kwa Tanzania Bara?

    Hao wote wanayo haki ya kupiga kura alimuradi awe mtanzania wenye umri zaidi ya miaka 18 na awe amejiandikisha kupiga kura .
  5. B

    Uchaguzi 2020 Mwana JF, be the first to know kuwa CCM ndio mshindi wa jumla wa Uchaguzi huu

    Asante Sana Pascal kwa andiko lako lenye ujumbe mzito. Mimi nimekuelewa na ninaunga mkono kuwa safari hii CCM inashinda viti vyote pia kwa umakini wake ulioanzia wakati wa kujiandikisha kupiga kura nabkurekebisha taarifa zao kitu ambacho chadema walidharau zoezi hilo hivyo wamebaki kwenye...
  6. B

    Uchaguzi 2020 Nimebadili maamuzi, wacha watuone wajinga tu ila na mimi kesho naenda Kupiga Kura

    Wewe ndio mjinga hiyo jana Umeme ulikuwepo. Labda baadhi ya maeneo na ni muda wa mchana, na uchaguzi ni leo sasa jana mchana na kwa muda mfupi sijui inahusuje kwenye uchaguzi wa Leo.
Back
Top Bottom