Sawa ! Vanilla inatumika hasahasa kwenye kuongeza radhha katika vitu mbali mbali kama vile cake , ice cream inaongeza radha hayo ni matumizi ambayo ni yakawaida kwenye coffee sehem tofauti tofauti
Naitwa Auson frank ni mkulima wa zao la vanilla ambalo tunafanyia kilimo mkoa wa Bukoba-Kagera ambapo tunazalisha zaidi ya tani 5 ya vanilla.
Kwa Dar es salaam tunapatikana magomeni kagera kwa atakae hitaji kuona sample ya mzigo maana mzigo upo godown bukoba atafika Magomeni Kagera na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.