Ni rahisi kusema na kulaumu. Kwa nini isiwe Zitto? Yaani sababu mahaba yako hayaruhusu kutaka kusikia kitabu kuhusu ZZK basi kitabu kisiandikwe?!
Hayo ni mahojiano ambayo yalikuwa yamefanywa hapa JamiiForums kwa masaa 8. Zitto ndiye mwana Siasa Pekee ambaye alikubali kufanya mahojiano hayo...
Mkuu kitabu hakina profit margin kubwa. Ni ndogo tu. Naomba jitajidi uweze kukinunua kwa bei iliyopangwa.
Kitabu kimechapishwa cha rangi chote hivyo gharama za kuchapisha zilikuwa kubwa. Asante kwa kuniunga mkono.
Mkuu kwa akili kama hii yako ya kushikiliwa likija suala linalohusiana na Zitto hiki kitabu kinakufaa na usome ukurasa wa 84. Ni mwendelezo wa makala za Zitto maarufu (kwa wale ambao ni wasomaji wa makala mbali mbali magazetini) kama "Fuata Misingi na siyo Watu".
Karibu ujipatie kitabu chako...
Hii ikitoka ukurasa wa 64, Zitto anazungumzia jinsi Chadema kilivyo na Demokrasia ya kweli. Kumbuka Zitto alisha peleka chama hicho kikwa bado yupo hapo ili kuzuia maamuzi ya kuvuliwa uana chama.
Jiulize;
- Je, Zitto bado anafikiria Chama hicho cha CHADEMA kina Demokrasi ya Kweli?
- Je...
Hili ni tangazo la vitabu, kitabu siyo cha Zitto Kabwe, ni kitabu kinachomhusu Zitto Kabwe. Kama huwa ni msomaji, uliza kwa misingi hiyo upate kujua kama kitakufaa ama lah! Ila kama ni wale walalamishi tu, hapa si mahala pale.
Habari wakuu,
Nawaletea kwenu kitabu cha "Asemavyo Zitto" kilichokuwa inspired na Mahojiano yaliyofanyika hapa JamiiForums (Mahojiano ya Moja kwa Moja na Mhe. Zitto Zuberi Kabwe) yaliyofanyika Novemba 22, 2012.
Kitabu hiki kinazungumzia Mitazamo na Maisha ya ZZK akiwa ni mwanasiasa ndani ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.