Znz tunafika, pia kuhusu gharama za kujenga hiyo nyumba zitategemea design ya nyumba yenyewe uliyo itaka, pili itategemea na Aina ya eneo unalotaka kujenge Kama Ni tambalale au slope gharama zitatofautiana . Kama itawezekana tuone eneo na tufanye design ya hiyo nyumba. Ndio utapata hesabu sahii...
Kutana na wataalamu wa maswala ya ujenzi kuanzia uchoraji wa ramani na ujenzi kwa ujumla. Pia tunafanya kazi zetu mahali popote ndani na nje ya Tanzania kwa ushauri wa namuna ya kufanya ujenzi bora na nafuu tuwasiliane kupitia nambali ( 0658316057)
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.