Asanteni sana na khs mgongo mkuu Sushi ni kwel nao huwa unaniuma mara kadhaa na kaz sifany kaz ngumu nimemaliza chuo kwa hiyo kaz kuu ilikuwa kusoma tu na pia miaka kama mitatu nyuma niliugua kifua kikuu na nilitumia dawa na nilikua fresh kuhusu ukimwi nadhan hiyo pia ni history inayonihusu...
Habar zenu wapendwa naomben msaada wenu miez michache iliopita nikiwa na mpenz wangu nilijiona nawah kumaliza game sana na siku hiyo nilivokuwa namaliza nikahis na miguu inauma magotin baada ya hapo imekuwa ikiniuma na pia namaliza mda mrefu mjomba hasimami na ikisimama bas kidogo tu alafu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.