Recent content by Apotheker

  1. A

    JamiiForums Tanzania Mchanganyiko wa Flagyl na pombe; hatari inayopuuzwa kimyakimya

    Habari wakuu Leo ni alhamisi na kwa watu wapenda viti virefu na kamnyweso wao wameshaanza wikiendi tayari, lakini tunapoelekea kwenye wikiendi hebu tujikumbushe jambo moja la muhimu hususani afya zetu. Je, umeshawahi kusikia mtu amefariki ghafla na rafiki zake wakasema ni jana tu tulikua nae...
  2. A

    JamiiForums Tanzania Hii hali ya kujisikia homa nyakati za usiku hasababishwa na nini?

    Mojawapo ya dalili ya Kifua Kikuu ni Pamoja na zifuatazo -Kikohozi cha muda mrefu kisichopona hata baada ya kutumia dawa -Mwili kuishiwa nguvu - Kuhisi kichefuchefu na kutapika ,Kizunguzungu -"Homa za mara kwa mara hasa nyakati za usiku " Mkuu fika mapema kituo cha Afya kilicho karibu nawe...
  3. A

    JamiiForums Tanzania Zifahamu athari zitokanazo na matumizi ya dawa (adverse drug reactions )

    Kumekua na Changamoto mbalimbali zitokanazo na matumizi ya dawa kwa watu mbalimbali,wengine hujihisi kuwashwa mara baada ya kutumia dawa fulani ,wengine hujihisi kuchoka mara baada ya kutumia dawa fulani na wengine hali zao kubadilika kabisa na kuzidi hali walizokua nazo kabla ya kutumia dawa...
Back
Top Bottom