Habari ya wakati huu wakuu.
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu, madalali wamenichosha hakika na wasumbufu na hawatimizi hitaji😥
Natafuta chumba, sebule choo na jiko ndani kwa bajeti ya 150,000. Kiwe mazingira salama na ndani ya uzio(sitokuwepo muda mwingi)
Maeneo ni Kigamboni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.