📍 Mahali: Misugusugu, Kibaha
📐 Ukubwa: 24m x 28m = 672 sqm
🏠 Msingi wa Nyumba ya Kisasa Tayari
➡️ Vyumba 4 (viwili ni Master)
➡️ Sebule, Dining, Jiko, Store, na Public Toilet
🛠️ Spetic Tank limechimbwa
🧱 Matofali 300+ tayari yapo site
⚡ Umeme, Barabara na Maji vipo jirani kabisa – hujapungukiwa...