Recent content by Anola Semndili

  1. A

    INAUZWA Nauza duka la vifaa vya watoto kwa Tsh 5,000,000

    Nauza kbb nmepata kazi mkoani na sina mtu ninayeweza kumuachia duka Ndio thamani ya mzigo unafika 5M na zaidi Ila kwa kua nataka kuliachia duka sina namna
  2. A

    INAUZWA Nauza duka la vifaa vya watoto kwa Tsh 5,000,000

    Frame nimekodi, hapo kinachouzwa ni hvyo vitu vyote pamoja na shelfs zake
  3. A

    INAUZWA Nauza duka la vifaa vya watoto kwa Tsh 5,000,000

    NAUZA DUKA LENYE VIFAA VYA WATOTO DUKA LINA KILA AINA YA VIFAA VYA WATOTO NALIUZA (diapers, mafuta, toys, nguo, baby walkers, mabeseni, vitanda, midoli, chupa, n.k) LOTE KAMA LILIVYO DUKA LIPO MBWENI, BEI NI 5M Kwa Mawasiliano: 065 839 4857
Back
Top Bottom