Recent content by Anna Meleiya Mbise

  1. Anna Meleiya Mbise

    SoC02 Undugu Wetu Matatani

    Jina la Shairi: Undugu Wetu Matatani Jina la Mtunzi: Anna Meleiya Mbise 1.Waungwana nauliza, twaishije duniani, Wanadamu twashangaza, zaniwasha zangu mboni, Undugu tunapoteza, tumekuwa hayawani, Tumeshatokwa imani, twaishi bora liende. 2.Kwa sasa tumetengana, hatupo kama zamani, Njiani...
  2. Anna Meleiya Mbise

    SoC02 Mwanafamilia mpya

    Jina la Shairi: Mwanafamilia Mpya Jina la Mwandishi: Anna Meleiya Mbise 1.Wanaita digitali, zama zimebadilika, Na wala si ajali, ndio pilikapilika, Twazipata kihalali, kutunza tunachemka, Simu wewe ndio nani, mbona unatunyoosha? 2.Mimi niliponunua, kwanza nilijiuliza, Hii simu yala mua, au...
  3. Anna Meleiya Mbise

    SoC02 Shairi la Mwarubaini wa Haki

    Mtunzi wa Shairi- Anna Meleiya Mbise (annambise2015@gmail.com) Jina la Shairi – Mwarubaini wa Haki Mwarubaini wa Haki 1. Amani tunda la haki, kukua lataka wote, Wenye viti nazo dhiki, pamoja tunda liote, Na lenyewe si kisiki, halipendi hali tete, Lashamiri lanawiri, penye uongozi makini...
Back
Top Bottom