Ina vyumba vitano kwa ndani, bafu choo, na kuna vyumba viwili vya nje pamoja na eneo kubwa kwa nnje, nyuma na mbele.
Eneo la mbele ni kubwa unaweza ongeza nyumba nyingine au fremu za biashara, kwa nyuma pia kuna eneo kubwa, Gari linafika hadi mlangoni
Document zote zipo nyumba haina mgogoro...