Wapendwa nina kilo 69, na miguu inauma tu haijai wala kuwaka moto na hali hii hapo nyuma ilikuwa inanitokea mara chache labda wiki 2 halafu inapoa yenyewe, kwa sasa huu ni mwezi wa 3 ndani ya miezi hiyo mitatu ilipoa wiki moja tu na ikendelea, nikiamka mara nyingi asubuhi najikuta haiumi ila...

Haiwaki moto, wala kuchoma wala kujaa maji, na kuna muda nikisimama muda mrefu bila kutembea tembea nachoka. Ingawa pia nina historia ya kufanya kazi ya kukaa kwa muda mrefu hapo nyuma, nilifanya kwa miaka 2.
Yani ni kama ina uchovu flani, na mara nyingi nikiamka asubuhi inakuwa sawa, ila nikishuka nikakanyaga chini tu inakuwa mizito na kadiri ninavyotembea uzito unapungua kwa kiasi flani.
Mimi ni mwanamke nina miaka 28, nasumbuliwa na miguu kuuma hasa nikiwa nimelala au kukaa, nimepima hiv,uti,typhod na malaria sina chochote, naomba mnisaidie ushauri tafadhali.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.