Recent content by Anapam

  1. A

    JamiiForums Tanzania Msaada: Amejifungua mtoto wa kwanza anaumwa kiuno na mgongo anapoinama kwa Muda mrefu

    Nawashukuru wana Jforums. Kwa ushauri wenu .mubarikiwe na Mungu
  2. A

    JamiiForums Tanzania Msaada: Amejifungua mtoto wa kwanza anaumwa kiuno na mgongo anapoinama kwa Muda mrefu

    Baada ya miezi mitatu ile akiinama kufua na kudeki anahisi maumivu kwa kiuno na mgongo
  3. A

    JamiiForums Tanzania Msaada: Amejifungua mtoto wa kwanza anaumwa kiuno na mgongo anapoinama kwa Muda mrefu

    Habari Je tiba ipi inaweza msaidia mama aliejifungua mtoto wa Kwanza anayeumwa kiuno na mgongo anapoinama kwa Muda mrefu akiwa anafany shughuli zake.
  4. A

    JamiiForums Tanzania Natafuta tiba ya ugonjwa wa kinywa - Oral Thrush

    Asanteeeni
  5. A

    JamiiForums Tanzania Natafuta tiba ya ugonjwa wa kinywa - Oral Thrush

    Una uhakika ????
  6. A

    JamiiForums Tanzania Natafuta tiba ya ugonjwa wa kinywa - Oral Thrush

    Sawaa mkuu
  7. A

    JamiiForums Tanzania Natafuta tiba ya ugonjwa wa kinywa - Oral Thrush

    Sawa mkuu Niko Arusha kwa Sasa
  8. A

    JamiiForums Tanzania Natafuta tiba ya ugonjwa wa kinywa - Oral Thrush

    Hakuna mkuu. Nilishawahi tumia dawa kadhaa za hospital lakini hiyo Hali inaisha inarudi Tena . Naamini Hulu ntapata matibabu ili tatizo liishe kabisa mkuu
  9. A

    JamiiForums Tanzania Natafuta tiba ya ugonjwa wa kinywa - Oral Thrush

    Habari zenu, Natafuta tiba ya ugonjwa wa oral thrush (ramani kwenye ulimi) ambao umekaa muda mrefu bila tiba. Ugonjwa huu ni kama kwenye picha hii niliyoambatanisha:
Back
Top Bottom