Amri Mkonanga

Nafanya kazi katika huduma za teknolojia, ununuzi na uandaaji wa nyaraka. Napenda kujifunza, kujenga biashara na kushiriki mijadala kuhusu maisha na maendeleo ya Tanzania, Afrika na Dunia.

Ninajali nafasi ya vijana katika uchumi na uongozi, pamoja na uwezo wetu wa kushirikiana bila kutenganishwa na vyama, dini au tulikotoka. Niko hapa kusikiliza, kuchangia ninachokijua na kurekebisha ninapokosea.
Gender
Male
Occupation
Huduma za teknolojia, ununuzi na uandaaji wa nyaraka.

Trophies

  1. 20

    First Message

    Post a message somewhere on the site to receive this.
Back
Top Bottom