Kama una nyumba yako upo sahihi lakini Kama huna nyumba basi utakuwa na matatizo kwenye akili aliehama hicho chumb ameishi kwa miaka kumi mpaka kahamia kwake, jiheshimu brother Kama kitu upendezwi wewe basi usiwapotoshe wengine halafu isitoshe hiyo picha ujafika maeneo husika kuangalia,min sio...
Habari Wana jf ,kama kichwa Cha habari kinavyojieleza na chumba kipo maeneo ya mabibo jirani na chuo Cha NIT chumba ni kizuri mazingira ni mazuri na usalama wa kutosha hakuna mwenye nyumba wapo wapangaji tu, Kodi ni miezi sita na 50000 kwa mwezi na 50000 ya dalali, kwa mawasiliano zaidi nicheki...
Habari Wana jf ,YALIN global limited inapenda kukutaarifu kupatikana kwa misumari ya bati ya 25kg Kwa Bei Kati ya 78000, 75000 na 70000 .Karibu unufaike ,tunapatikana dar ea salaam maeneo ya tabata matumbi kwa maelezo na huduma piga simu namba 0672076564/0689008719 au 0754208601.Asante.
Sent...
Yalin global limited inapenda kkukaribisha kunufaika na flat screen TV HD kwa Bei ya 260000 .Tunapatikana tabata matumbi dar es salaam,kwa mawasiliano zaidi tupigie kwa namba 0672087564 au 0689008719.Karibu tukuhudumie.
Sent using Jamii Forums mobile app
Habari wana jf,,!YALIN global limited inapenda kkutaarifu kwa upatikanaji wa misumali imara na bati kwa bei nafuu sana,Tunapatikana Dar es salaam eneo la tabata matumbi,huduma za mikoani pia zinapatikana, kwa maelezo zaidi piga simu namba 0689008719 au WhatsApp 0672087564.Karibuni sana.
Sent...
Jipatie misumari imara ya bati kutoka Yalin global limited kwa Bei nzuri,Tunapatikana Dar es salaam eneo la tabata matumbi.For more information please call and WhatsApp through 0672087564.Bei ni sh 80000 kwa bag moja ya kg 25.karibu tukuhudumie
Sent using Jamii Forums mobile app
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.