Recent content by Amiry Kitimbu

  1. Amiry Kitimbu

    House4Sale Nyumba inauzwa!!! House for sale!!!

    Hakuna hivyo vitu,ipo chamazi haufiki mbande
  2. Amiry Kitimbu

    House4Sale Nyumba inauzwa!!! House for sale!!!

    Shukran sana kwa kutanguliza busara juu ya hili jambo...tupo pamoja sana,nafkiri unafahamu hali ni tete na majukumu yamekua ya kila mmoja kuhakikisha tunapata mkate wa kila siku.Nami pia nimekubali hizi ni changamoto tu japo ni vizuri pia nikakukaribisha hata nawewe ukipata nafasi uje uione.
  3. Amiry Kitimbu

    House4Sale Nyumba inauzwa!!! House for sale!!!

    Nimependa tu kukuuliza kuhusu hii nyumba umeshaiona? Kama hujaiona njoo uione kisha mchukue mtoto aipige konzi then u will get da answer
  4. Amiry Kitimbu

    House4Sale Nyumba inauzwa!!! House for sale!!!

    Daaah!!! ndugu umejitahidi sana kutoa kasoro na kukosoa ilhali ni biashara na haujahakiki hayo yote unayoyasema.Nyumba umeiona kwa picha hujaiona live, its not fair ni kuharibiana biashara.
  5. Amiry Kitimbu

    House4Sale Nyumba inauzwa!!! House for sale!!!

    Si unajua waswahili wanasema kimfaacho mtu ni chake
  6. Amiry Kitimbu

    House4Sale Nyumba inauzwa!!! House for sale!!!

    Nitafute 0714281410
  7. Amiry Kitimbu

    House4Sale Nyumba inauzwa!!! House for sale!!!

    Si kweli na siyo wote wanaofanya hivyo na ndiomana kabla ya kununua unatakiwa kufanya research...Hii ni biashara kama biashara zengine na hii inamaana mtu atayekua intersted atanunua na asiyetaka anaacha si basi!!!
  8. Amiry Kitimbu

    House4Sale Nyumba inauzwa!!! House for sale!!!

    upo sahihi ni 350 square meters
  9. Amiry Kitimbu

    House4Sale Nyumba inauzwa!!! House for sale!!!

    Hapana ndugu haina mgogoro
  10. Amiry Kitimbu

    House4Sale Nyumba inauzwa!!! House for sale!!!

    Nyumba ya kisasa yenye ubora wa hali ya juu ipo Mbagala Chamazi kituo cha Magengeni. Nyumba ni mpya ipo karibu na barabara na huduma zote za jamii. Nyumba ina documents zote. Inauzwa Tsh.60 milion kwa mawasiliano zaidi nitafute kwa number [emoji390] 0714281410...
  11. Amiry Kitimbu

    House4Sale House for sale!!!

    Nyumba ya kisasa yenye ubora wa hali ya juu ipo Mbagala Chamazi kituo cha Magengeni. Nyumba ni mpya ipo karibu na barabara na huduma zote za jamii. Bei yake ni 65 milion. Nyumba ina documents zote... kwa mawasiliano zaidi nitafute kwa number [emoji390] 0714281410...
Back
Top Bottom