Recent content by amina ali

  1. A

    Msaada tafadhali

    Habari zenu wapendwa nawaomba munisaidie tatizo langu najihisi kua ni mjamzito mana dalili zote za ujauzito ninazo na hapa chini ya kitovu pameanza uvimbe. Tatizo langu nikwamba napata hedhi kama kawaida tarehe inapofika ispokua haina maumivu yoyote tofauti na siku za nyuma Je hii ni hali ya...
  2. A

    Msaada: Kutokwa na hewa wakati wa tendo

    niende wapi ili kupata majibu ya kutosha?
  3. A

    Msaada: Kutokwa na hewa wakati wa tendo

    Style ya kupinda mgongo hasa mumewangu akinibena
  4. A

    Msaada: Kutokwa na hewa wakati wa tendo

    Habari zenu wapendwa. Nina tatizo la kutokwa na hewa yenye sauti wakati wa kufanya tendo la ndoa na hii inatokezea kwa baadhi ya style. Naombeni mnisaidie kuondoa tatizo hili.
  5. A

    Ni mafuta gani ya Mnyonyo yanayotumika kupanga Uzazi?

    na matumizi yake yapoje kwa mwananke asie bleed?
  6. A

    Ni mafuta gani ya Mnyonyo yanayotumika kupanga Uzazi?

    nimekuelewa shukran, ila mimi nanyonyesha je mwanangu hatodhurika nitapotumia?
  7. A

    Ni mafuta gani ya Mnyonyo yanayotumika kupanga Uzazi?

    sio mapema mwanangu anamiezi mitano naogopa kumbebea mimba na babake hawezi kuishia nje au kama kuna njia nyngine ya kupanga isiyo ya kisasa naombeni mnifahamishe
  8. A

    Ni mafuta gani ya Mnyonyo yanayotumika kupanga Uzazi?

    Habari zenu wapendwa, Naomba mnijuze ni mafuta gani ya Mnyonyo yanayotumika kupanga uzazi? Na je hua unapaka juu juu au unaingiza ndani ukeni?
  9. A

    Tuna watoto 4, wote kwa operesheni, mimba ya 5 (na mke alishafunga kizazi)

    Mungu ndie mpangaji wa yote, hata mimi jirani yangu yalimkuta kama yako ila yeye alikataa kufunga uzazi kwani alikua na kiu ya mtoto wa kiume, akapata mimba na akalea mimba yake ilipofika siku akajifungua salama na ni miujiza tu mana alijifungulia nyumbani hakuwahi hata kupelekwa hospital, na...
  10. A

    Naomba ushauri

    Hapana ni sawa sawa kwani nilijiandaa kupata ujauzito hivyo tarehe niliihifadhi
  11. A

    Naomba ushauri

    na jee! Nirahisi mimi kujigundua kua nina gesi au sio rahisi? Kwani hadi sasa sijaona ishara yoyote ya gesi tumboni kwangu hii ndio kwanza unanijuulisha wewe
  12. A

    Naomba ushauri

    asante, ila hiyo hewa mtikisiko wa tumbo unaweza kuendelea hata mtu anapozuia pumzi?
  13. A

    Naomba ushauri

    asante
  14. A

    Naomba ushauri

    Habari zenu wapendwa, naombeni ushauri wa hii hali nilonayo, nna ujauzito wa miezi mitatu na nusu ila nahisi kama kiumbe kinacheza tumboni na mtikisiko wa tumbo huonekana hata kwa kuangalia tumbo tu, je hakuna tatizo maana nasikia mapigo huanza kusikika katika wiki ya 18 hadi 20 kwa mimba ya...
  15. A

    Naomba msaada wenu

    shukran saaana
Back
Top Bottom