Recent content by Amani 2015

  1. Amani 2015

    Nauza viti na Meza yake

    ....Nauza viti na meza yake vinafaa sana kwa ajili ya kuweka sehemu ya dinning au Officene au kuweka kwa nje kwa ajili ya kupumzikia... Ni vizuri sana.. Ni product kutoka South Africa... Bei ni laki nne (400,000) kwa vyote... Kwa mawasiliano zaidi unaweza kunicheck kwa number 0713 590607...
  2. Amani 2015

    Natafuta Fridge kwa 250000

    Sold
  3. Amani 2015

    Natafuta Fridge kwa 250000

    Imeshaondoka (sold)
  4. Amani 2015

    Natafuta Fridge kwa 250000

    Sold
  5. Amani 2015

    Natafuta Fridge kwa 250000

    Sold
  6. Amani 2015

    Friji jipya na box lake na funguo zake

    Nipigie 0713 590607.. Tuongee biashara ya Tv
  7. Amani 2015

    Natafuta powered subwoofer aina ya sony au klipsch

    Mkuu mnauza na home Theater aina ya sony?! nicheck kwa 0713 590607 tuyajengee
  8. Amani 2015

    Milango ya Mninga inauzwa

    Pole mkuu.. haiwezekani.. Hiyo ni pure mninga hopefully unafahamu bei yake
  9. Amani 2015

    Milango ya Mninga inauzwa

    Mbezi beach
  10. Amani 2015

    Milango ya Mninga inauzwa

    ....Millango iliyotengenezwa na Mbao aina ya Mininga ambayo haina kovu wala doa inauzwa... Bei yake ni 350,000 Ipo hamsini(50).. Urefu ni Cm 220 na Upana ni Cm 90. Ni mizuri sana kutokana na finishing yake ni ya machine Kwa mawasiliano zaidi unaweza kupiga number 0713 590607. Ipo Dar es...
  11. Amani 2015

    Milango ya Mninga inauzwa

    ...Kuna Milango ya iliyotengenezwa na mbao za mininga inauzwa ni pure mninga haina kovu wala doa ipo 50 (Hamsini) Bei yake ni 350,000 ipo Dar es salaam.. Urefu ni Cm 220 na upana ni Cm 90 Kwa mawasiliano zaidi piga 0713 590607...Ni mizuri sana kutokana na finishing yake ni ya Machine
  12. Amani 2015

    Kioo cha Tv Sony bravia kinauzwa

    Unauzaje mkuu?!
  13. Amani 2015

    Nahitaji mashine ya flat screen TV, aina ya WEGA STAR

    Naomba niunganishe na mimi kabiashara hapa kwenye uzi wako..... Nauza kioo cha Sony Bravia inches 32 Bei ni laki tatu tu... Kwa mawasiliano unaweza kunicheck kwenye number 0713 590607
  14. Amani 2015

    Kioo cha Tv Sony bravia kinauzwa

    .....Kioo cha Tv Sony Bravia inch 32 kinauzwa bei ni 300,000.. Kwa mawasiliano zaidi unaweza kunicheck kwa number 0713 590607... Nipo Dar es salaam
Back
Top Bottom