Jana tuu mimi nimepewa hiyo dawa ya usingizi,nilikuwa na upareshen,aliniambia nakudunga sindano hii utalala wakawa wanasema tumpe 7 huyu sasa cjui hiyo 7 nini wakati wananidunga huku wananivutisha hewa nilianza kuona giza mwili ukaishiwa nguvu kuja kuamka nipo wodin ishu imeisha
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.