Recent content by alvin maro

  1. alvin maro

    JamiiForums Tanzania Je inawezekana kujamiana na muathirika na usipate UKIMWI?

    Baada ya kusikia tetesi nilienda kupima nae na akaonekana anao
  2. alvin maro

    JamiiForums Tanzania Je inawezekana kujamiana na muathirika na usipate UKIMWI?

    Mi ni mwanaume !
  3. alvin maro

    JamiiForums Tanzania Je inawezekana kujamiana na muathirika na usipate UKIMWI?

    Ngoja itabidi niende wiki ijayo maana wiki hii sina muda kabisa nashukuru kwa ushauri
  4. alvin maro

    JamiiForums Tanzania Je inawezekana kujamiana na muathirika na usipate UKIMWI?

    Jamani muwe makini mimi nikinusurika na hili janga ndio naacha kabisa mapenzi! Ni bora nipige nyeto
  5. alvin maro

    JamiiForums Tanzania Je inawezekana kujamiana na muathirika na usipate UKIMWI?

    Nilipima wiki mbili zilizopita nilikua negative ila sasa wakasema majibu ya uhakika ni baada ya miez mitatu sasa naona mbali na ndio kwanza nimemaliza mwez sasa nashindwa kiaminibmajibu ya mara ya kwanza
  6. alvin maro

    JamiiForums Tanzania Je inawezekana kujamiana na muathirika na usipate UKIMWI?

    Nilikua naomba niulize hiv unaweza ukafanya mapenzi na muathirika wa vvu na usipate maambukizi maan mimi hapa nilipo nina mwezi sasa toka nifanye mapenzi na muuaji huyo naombeni majibu tafadhari! !!
  7. alvin maro

    JamiiForums Tanzania Ni kweli kuna dawa ya kuzuia maambukizi ya HIV ndani ya masaa 72?

    Nilikua naomba swali niulize unaweza ukafanya mapenzi na muathirika na asikuambukize? Maana imepita mwez sasa toka nisex na mwanamke aliyeathirika hapa nilipo nina presha mpaka bac naombeni majibu jaman plz
Back
Top Bottom