#Kwenye Chapisho langu, utakutana na MIFANO HALISI ya waziwazi, Kama wa huyu kijana wa Kitanzania aliyeweza KUTENGENEZA KITUO CHA REDIO,[emoji848]
Mfano mnzuri, yupo kijana ambaye taarifa zake zilianza kuenea mtandaoni hasa katika kituo cha habari cha mtandaoni cha Millard Ayo , Zuberi Ismail...
"Elimu ya Ujuzi binafsi, Ufundi, Ustadi na Ubunifu ni suluhisho na majibu ya ukosefu wa ajira, maendeleo ya viwanda na ukuaji wa uchumi wa mtu mmoja mmoja na taifa"
Nifuatiliie kwa account hii ALLENGRACE ADIEL , nimeweka "makala nzuri sana" ya Stories of Change,
Utaona habari ya Msomi wa Udaktari aliyeacha udaktari na kuwa mchoraji wa picha!
Utaona kwanini Msanii Diamond Platnumz AMEAJIRI WATU WENGI na ana UTAJIRI mkubwa Kuliko MSOMI WA SHAHADA YA JUU AU...
"SIRI YA ELIMU ILIYOFANYA WAKOLONI WAKAFANIKIWA NA WAKATUACHIA ELIMU INAYOTUFANYA KUENDELEA KUWA WATUMWA"
ELIMU YA UJUZI BINAFSI, USTADI, UFUNDI NA UBUNIFU NI MAJIBU YA KUWA NA AJIRA, UKUAJI WA UCHUMI, BIASHARA NA MAENDELEO YA VIWANDA.
Unaweza Ukajiuliza, Ilikuwaje wakati wa wakoloni kulikuwa...

JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.