Habari wana JF,
Kwa mahitaj ya mashine za kutotoleshea vifaranga maarufu kama INCUBATORS, nauza kwa gharama nafuu sana, mashine zote ni mpya , na zina gurantee ya miezi 6 mpka mwaka mmoja mashine hizi zimetengezwa hapa hapa , na zipo za aina mbili kuna Full Automatic Egg Incubators na Semi...