Recent content by Alfredwanka

  1. Alfredwanka

    SoC01 Uongozi Bora ni Chachu ya Maendeleo

    Uongozi ni uhusiano uliopo baina ya pande mbili; upande unaoongoza na upande unaoongozwa (Prof. Rev. Fr. Magesa, 2003). Uhusiano huo unajengwa na imani ya wanaoongozwa kwa kiongozi wao. Wanaoongozwa huwa na imani kwa kiongozi wao kwa sababu ya kutaka kufikia lengo fulani. Hivyo, Uongozi ni...
  2. Alfredwanka

    SoC01 Unyonyaji na Unyanyasaji dhidi ya Watoto ni Sumu katika Ujenzi Jamii Bora

    Kwa mujibu wa Mkataba wa Kimataifa wa Haki za Mtoto, Mkataba wa Afrika kuhusu Haki na Ustawi wa Mtoto, Sera ya Maendeleo ya Mtoto na Sheria ya Mtoto Na. 21 ya 2009; inaeleza kuwa, Mtoto ni mtu yeyote mwenye umri ya miaka kumi na nane (18). Watoto wote wanazo haki zao za msingi bila kujali...
Back
Top Bottom