Recent content by Aleksander

  1. A

    JamiiForums Tanzania Natafuta chumba cha kupanga maeneo ya Airport Dar es Salaam

    Asante sana, ila nilikuwa napendelea sana maeneo kati ya kituo cha Posta - Airport, ila kama hakuna hata hayo maeneo mengine sio mbaya ila isipite Banana
  2. A

    JamiiForums Tanzania Natafuta chumba cha kupanga maeneo ya Airport Dar es Salaam

    Nawasubiri wanisaidie
  3. A

    JamiiForums Tanzania Natafuta chumba cha kupanga maeneo ya Airport Dar es Salaam

    Maeneo ya Airport
  4. A

    JamiiForums Tanzania Natafuta chumba cha kupanga maeneo ya Airport Dar es Salaam

    Mkuu Asante sana, sasa hebu nisaidie kunielekeza maeneo mazuri ambayo si mbali na airport
  5. A

    JamiiForums Tanzania Natafuta chumba cha kupanga maeneo ya Airport Dar es Salaam

    Mkuu hebu naomba unipe ushauri wa maeneo mazuri ambayo sio mbali na airport.
  6. A

    JamiiForums Tanzania Natafuta chumba cha kupanga maeneo ya Airport Dar es Salaam

    Nataka chumba maeneo ya karibu na Airport, Gongo la Mboto ni mbali
  7. A

    JamiiForums Tanzania Natafuta chumba cha kupanga maeneo ya Airport Dar es Salaam

    Mkuu kama ni Majumba sita sio mbaya.
  8. A

    JamiiForums Tanzania Natafuta chumba cha kupanga maeneo ya Airport Dar es Salaam

    Banana maeneo karibu na barabara naweza kupata?
  9. A

    JamiiForums Tanzania Natafuta chumba cha kupanga maeneo ya Airport Dar es Salaam

    Mkuu similiki gari, nataka nafasi ya kutosha tuu, ili iwe rahisi kufanya kazi zangu tuu.
  10. A

    JamiiForums Tanzania Natafuta chumba cha kupanga maeneo ya Airport Dar es Salaam

    Kitunda ni mbali sana, hebu nipe design ya zilizopo karakata na bei elekezi, ikishindikana nisogee Banana.
  11. A

    JamiiForums Tanzania Natafuta chumba cha kupanga maeneo ya Airport Dar es Salaam

    Mkuu nashukuru, kumbe hapo ndio kunaitwa karakata. sasa naweza kupata maeneo hayo?
  12. A

    JamiiForums Tanzania Natafuta chumba cha kupanga maeneo ya Airport Dar es Salaam

    Wakuu Habari za hapa jukwaani. Natafuta chumba cha kupanga maeneo ya karibu na airport (JNIA) kiwe na sifa zifuatazo:- 1. Kiwe ni Master Bedroom. 2. Kiwe chumba kikubwa. 3. Kiwe na LUKU ya kujitegemea. 4. Kuwe na maji ya bomba. 5. Kisiwe mbali na barabara ya Nyerere (kiwe karibu na kituo cha...
Back
Top Bottom