MIFUMO YA ELIMU YETU TANZANIA HAITUANDAI KUJIAJIRI
Elimu yetu ya Tanzania hasa ya darasani iliyo rasmi haijawa katika kuwaandaa vijana kujitegemea baada ya kumaliza elimu ,nitazungumza maeneo ya hiyo mifumo ya kielimu.
1)MITAALA ,mitaala ya kuendeshea elimu haipo kwa ajili ya kuandaa mhitimu...
UTANGULIZI ;
Kwa jina naitwa Albashiri (0652472119 ) mjasiriamali ambaye napambana na maisha ya kuitafuta pesa, katika kuitafuta hiyo pesa tangu nikiwa chuo nilijaribu njia nyingi ikiwemo kuhifadhi hela kutoka hela ya malazi ninayopata nikiwa chuoni ,kutoa huduma za fedha kwa njia ya mitandao...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.