Sijasema kwamba siwezi, naweza na ndio maana nikaamua kuusemea moyo baada ya kujitathimini kwa kina na kutambua tatizo so nataka pa kuendelea kuivua hali hii.
Sitaki umaarufu hapa ninachotaka ni msaada na uchambuzi wa hali yangu ili wasioweza kupaza sauti zao hadharani wajue nini cha kufanya ili kujikomboa kutoka ktk hali km yangu.
xfactor nadhani unaelekea kuwa na familia au tayari unayo. Natumaini wanao utawatunza vyema na kwa Usalama lakini jaribu kumtafuta mtaalamu wa saikolojia akuelimishe hali ninayo pitia mimi sasa. Sihitaji kutimikia hali ya. kikatili na naamini kuna mengi sana yamejificha kwenye jamii zetu licha...
Hapo ndio pagumu kuanza kuwatazama kwa mtazamo chanya coz hali mbaya inanishinda na siwezi kuicontrol kabisa na nakuwa mkatili kiliko ninavyoonekana kwa watu.
Nashukuru sana kaka. Yule wa kwanza sijui yuko wapi lakini najua ameshaolewa na anaishi raha mustarehe. Mama mdogo yupo na ameshaolewa na ana watoto wanne japo hawezi kunitazama usoni kabisa.
WanaJF, nimeishi kwa miaka ishirini na sita (26) sasa nikiwa nimepoa moyo kabisa. Sina hisia za upendo na sijawahi kuhisi hivyo toka mwaka 1996 nilipokuwa darasa la pili.
Nakumbuka mwaka huo nilikuwa darasa la pili na tulikuwa tunaishi kota, enzi zile shule tulikuwa tunatoka saa nne asubuhi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.