Recent content by Akiri

  1. A

    JamiiForums Tanzania RAC MOBILE STUDIO

    STUDIO IPO DAR ES SALAAM, POSTA MPYA MTAA WA JAMHURI, LAKINI SIFA KUU NI KWAMBA STUDIO YETU INATEMBEA KUKUFUATA MAHARI ULIPO. TAFADHARI TUTEMBELEE, AU TUPIGIE 0624 136 775 AU 0785 029 655. KARIBUNI.
  2. A

    JamiiForums Tanzania Natafuta kiwanja Bagamoyo

    kipo Mapinga tuwasiliane 0657145555
  3. A

    JamiiForums Tanzania PAGARE LINAUZWA

    Pagare lipo eneo la Kinondo B , wilaya ya kinondoni. lipo kwenye kiwanja che ukubwa wa miguu 70 x 30. pagare lina vyumba 3 vya kulala , sebule , jiko na choo. lipo upande wa kushoto kama unaenda bagamoyo. ni umbali wa 4.5km kutoka pale bunju Shule ya msingi bei ni 22m. mawasiliano 0657145555
  4. A

    JamiiForums Tanzania Kiwanja kinauzwa mapinga bagamoyo

    ujenzi wa bandari mpya kaka fuatilia taarifa
  5. A

    JamiiForums Tanzania Kiwanja kinauzwa mapinga bagamoyo

    hamna mkuu tayari nimeuza moja bado tatu
  6. A

    JamiiForums Tanzania Kiwanja kinauzwa mapinga bagamoyo

    poa mtaona mko maboya wangapi?
  7. A

    JamiiForums Tanzania Kiwanja kinauzwa mapinga bagamoyo

    shamba lipo sehemu nzuri sana kwa ajili ya uwekezaji wa chochote .kumbuka ujenzi wa bandari mpya ya bagamoyo unaendelea.
  8. A

    JamiiForums Tanzania Kiwanja kinauzwa mapinga bagamoyo

    Kiwanja kipo mapinga bagamoyo mkono wa kulia kama unaenda bagamoyo kina ukubwa wa heka 4 kipo umbali wa 1 km toka barabara ya rami bei ni 25m kwa heka. Tuwasiliane 0657145555.
  9. A

    JamiiForums Tanzania Kiwanja kinauzwa bunju A.

    weka number nikutumie
  10. A

    JamiiForums Tanzania Kiwanja kinauzwa bunju A.

    Kipo Bunju A katika eneo linaloitwa Kinondo B. ukubwa ni miguu 70 x 35 kina karatasi zinazotambuliwa na serikali ya kijiji ubali toka barabara kuu ya Bagamoyo ni 3km. umeme na maji vimefika. pia ndani ya kiwanja kuna jengo ambalo bado halijakamilika lipo katika hatua ya mwisho. hivyo kiwanja...
  11. A

    JamiiForums Tanzania Nyumba kwa ajiri ya ofisi

    Nyumba ya vyumba 3, eneo la mikutano inapangishwa, inafaa kwa matumizi ya ofisi ipo Kinondoni morocco, pembeni ya kituo cha mabasi ya mwendo kasi na daladala, bei ni 1,500,000 kwa mwezi. tuwasiliane 0657145555.
  12. A

    JamiiForums Tanzania Office ya kushea posta mpya

    kaka nina office kubwa na nzuri pale morroco kituo cha basi itakufaa 0657145555
  13. A

    JamiiForums Tanzania Natafuta mzani wa duka uliotumika

    unataka wa ukubwa gn? nichek 0657145555
  14. A

    JamiiForums Tanzania Eneo linahitajika, kati ya Mwenge mpaka Boko, ukubwa usibpungue heka 4

    mkuu mapinga pale bagamoyo 1km toka barabara ya lami nina heka 8 pale tuwasiliane 0657145555.
  15. A

    JamiiForums Tanzania Yard inauzwa

    poa acha waje kaka
Back
Top Bottom