Recent content by Aizeck12

  1. Aizeck12

    JamiiForums Tanzania Sikio kuziba

    Situmii earphone hataa na maji wala hata hayajaingia
  2. Aizeck12

    JamiiForums Tanzania Sikio kuziba

    Jaman naombeni msaada juzi nimeamka nimekuta masikio yamezipa tu yemyewe hata sielewi shida nini nimetumia dawa ile ya boric acid na labda kufuta na pamba lakini haisaidii kitu. Na nina mafua wiki ya pili saizi hayaishi eti
Back
Top Bottom