Agro Mifugo ni jukwaa la kidijitali la Tanzania linalolenga kuunganisha na kuwawezesha wakulima, wafugaji, wavuvi, wataalamu, wanafunzi, wafanyabiashara na wadau mbalimbali wa sekta ya kilimo, ufugaji na uvuvi.
Tunajenga ecosystem ya kilimo na ufugaji inayounganisha wadau kuanzia uzalishaji hadi matumizi na masoko.
Kupitia Agro Mifugo, watumiaji wanaweza kupata:• Elimu na taarifa za kilimo, ufugaji na uvuvi
• Fursa za biashara na masoko ya bidhaa na huduma
• Nafasi za kazi na fursa mbalimbali
• Taarifa za bei na masoko
• Wataalamu na huduma zinazohusiana na sekta
• Vitabu, video, makala na maudhui ya kujifunza
• Matangazo na taarifa za matukio ya sekta
• Fursa za kununua na kuuza bidhaa na huduma
• Zana na huduma za kidijitali kwa wakulima na wafugaji
• Mawasiliano na networking kati ya wadau wa sekta
Dhamira yetu ni kutumia teknolojia, elimu na taarifa sahihi kusaidia kuongeza ufanisi, fursa na thamani katika mnyororo mzima wa kilimo, ufugaji na uvuvi Tanzania.
Kauli mbiu:
Kilimo na ufugaji kwa maendeleo endelevu.
🌐 Tovuti: https://agro-mifugo.app
📧 Email: agromifugo@gmail.com
AGRO MIFUGO — WE ARE PROUD TO BUILD OUR NATIONAL TOGETHER.
-
25
Somebody out there liked one of your messages. Keep posting like that for more!
-
20
Post a message somewhere on the site to receive this.