Recent content by Afya kwanza

  1. A

    Kitu gani kinachonisumbua?

    Via kwanzaafya.blogspot, pole sana utakuwa unasumbuliwa na vidonda vya koo au ugonjwa wa GERD ambavyo ni matokeo ya vidonda au fangasi mdomoni kwa muda mrefu hivyo wahi hospitali mapema kwani maambukizi yanaweza kusambaa kwa kasi asa kuelekea kwenye ubongo na uti wa mgongo.
  2. A

    MSAADA: Mwanangu anavimba sehemu za siri kila akianza kulia

    Via Kwanzaafya.blogspot.com. pole sana mwanao anasumbuliwa na hernia aendelee kutumia dawa alizopewa na kufuata ushauri aliopewa mpaka akifikisha miaka 2 ndo ataweza kufanyiwa upasuaji.
  3. A

    Mume wangu anaumwa!

    Pole sana dada, hapo sio swala la kupima FBC tu, akacheki minyoo na kipimo kinaitwa Upper GI Endoscopy barium swallow pia kama ana stress apunguze.
Back
Top Bottom