Recent content by AdPower Tanzania

  1. AdPower Tanzania

    Teknolojia Mpya kutoka Japan ya kupunguza ulaji wa Mafuta kwenye Gari

    Huo ni uamuzi wako Boss, hatujalazimisha mtu kukunua our products kama unaona huna uwezo isiwe sababu ya kutoa negatives.
  2. AdPower Tanzania

    Teknolojia Mpya kutoka Japan ya kupunguza ulaji wa Mafuta kwenye Gari

    More proof ; AdPower-Global wanauza kwa other Businesses. Zenplus Japan - https://zenplus.jp/adpower-diesel-for-diesel-vehicles-patented-just-stick-it-on-the-engine-air-c/p/mmstore%3A16e81664-4f9b-425f-9a80-b6ad6c418afd Shopee Singapore -...
  3. AdPower Tanzania

    Teknolojia Mpya kutoka Japan ya kupunguza ulaji wa Mafuta kwenye Gari

    Kama kweli unataka ku-prove kwa watu kwamba ni waste of money, then prove it kwa kutumia wewe mwenyewe ... Tumeshakuelezea kuwa adpower-global wameacha kuuza online wanafanya b2b kwa sasa, still unashindwa kuelewa. Naomba ulete proof hapa kwa kujaribu wewe mwenyewe na sio maneno tu.
  4. AdPower Tanzania

    Teknolojia Mpya kutoka Japan ya kupunguza ulaji wa Mafuta kwenye Gari

    Labda upate uelewa kwanza,used cars is for export. Huweki Adpower kwa gari mpya bali gari ambazo tayari mfumo wake umeanza kuchakaa(chakavu). Huwezi kuona AdPower kwa sasa ila nadhani utaziona very soon kwasababu hawa wana awards japan. Na japan wana reviews nyingi na za kutosha. Its a new...
  5. AdPower Tanzania

    Teknolojia Mpya kutoka Japan ya kupunguza ulaji wa Mafuta kwenye Gari

    Yes ni product mpya hii na ambayo ipo sokoni mwaka wa tatu by now. Actually fahamu tu jambo moja kuhusu Japan.Product zao nyingi hawaleti huku,kwasababu nyingi kama Product immitations,Kaizen strategy of not producing for mass(chinese way) ,kuzalisha kwa nchi yao pekee kwasababu ya bei na ubora...
  6. AdPower Tanzania

    Teknolojia Mpya kutoka Japan ya kupunguza ulaji wa Mafuta kwenye Gari

    Usisumbuke bidhaa zipo Tanzania,zipo Kenya na kwingineko. AdPower wameamua kuondoa biashara mitandaoni na kufanya B2B kwa sasa. mojawapo ni kupunguza product immitations . Ni vyema ukajaribu product then ukaja kuhadithia hapa product efficacy yake.
  7. AdPower Tanzania

    Teknolojia Mpya kutoka Japan ya kupunguza ulaji wa Mafuta kwenye Gari

    1.Angalia bei vizuri stika sio 750,000 ila idadi ya stika zinazohitajika ndio unazidisha na Tsh 75,000. Kwa gari ndogo ni Tsh 75,000 2. Hii teknolojia sio ya Tanzania na imekuwa imported from Japan ,na ipo pia amazon na Uk. - -...
  8. AdPower Tanzania

    Teknolojia Mpya kutoka Japan ya kupunguza ulaji wa Mafuta kwenye Gari

    Yani ukishajua cc ya gari yako, unaangalia bei yake kule mwisho, kwahiyo bei unapewa package nzima, kama ni pieces 3 unapewa zote kwa bei hiyo. Sio kwamba kila piece inauzwa kwa bei hiyo, hapana ... Hiyo bei ni package nzima unapewa.
  9. AdPower Tanzania

    Teknolojia Mpya kutoka Japan ya kupunguza ulaji wa Mafuta kwenye Gari

    Kwa msaada wa haraka kuipata, tutafute whatsapp Whatsapp(bofya link): WhatsApp AdPower (namba 0747 786 304) au piga 0747 786 304. Karibu sana Mkuu.
  10. AdPower Tanzania

    Teknolojia Mpya kutoka Japan ya kupunguza ulaji wa Mafuta kwenye Gari

    Inafiti kwenye gari aina zote Mkuu.
  11. AdPower Tanzania

    Teknolojia Mpya kutoka Japan ya kupunguza ulaji wa Mafuta kwenye Gari

    Ofisi zetu zipo Arusha, lakini tunaweza kukutumia mahali ulipo. Kwa msaada wa haraka kuipata, tutafute whatsapp Whatsapp(bofya link): Share on WhatsApp (namba 0747 786 304) au piga 0747 786 304. Karibu sana Mkuu.
  12. AdPower Tanzania

    Teknolojia Mpya kutoka Japan ya kupunguza ulaji wa Mafuta kwenye Gari

    Kuna picha hapo juu kwenye post imeandikwa "PRICING LIST" angalia cc ya chombo chako utaona bei ya stika unayohitaji Mkuu.
  13. AdPower Tanzania

    Teknolojia Mpya kutoka Japan ya kupunguza ulaji wa Mafuta kwenye Gari

    UTANGULIZI Masaaki Imai Mkufunzi wa kijapan wa mifumo ya ubora maarufu kama “kaizen” aliwahi kusema “siku moja isipite bila kuhakikisha kuna mahali umeboresha katika kazi/ chombo chako na maisha yako.Hata kama ni padogo kiasi gani. ⛽ Kwa miaka mingi vyombo vya moto vinavyoingia nchini...
Back
Top Bottom