Recent content by Adonai real estate

  1. A

    Nyumba inauzwa Goba njia nne

    Nyumba Goba niwe nne Njia panda ya Tegeta A. Ukubwa wa eneo 550 square meter vyumba vinne, viwili master, sebule na jiko Tank la Maji na kisima cha Maji ya akiba, Mita 400 toka barabara ya Lami Bei 230M mazungumzo yapo Hatimiliki ipo Mawasiliano 0737148766 Karibuni
  2. A

    Nyumba inauzwa Madale mivumoni

    Nyumba inauzwa madale mivumoni karibu na kaseke primary school Ina eneo la ukubwa wa 487 square meters Ina vyumba 3 master na choo cha public na jiko Inatank la maji la lita 3000 Bei ni 170M Karibuni sana
  3. A

    Kiwanja Madale njia yakuelekea Mbopo

    Kiwanja kinauzwa kipo Madale njia ya kuelekea Mbopo umbali wa 1km kutoka lami. Kinaukubwa wa 1000 square meters Bei ni 40M Mazungumzo yapo Tucheki kupitia 0674630975 ama +255 714 796 778
  4. A

    Plot4Sale Kiwanja cha biashara Tegeta kibo compex

    Kiwanja caha biashara kipo opposite na New kibo complex Tegeta kina ukubwa wa 1260 square meters Kinafaa kwa matumizi ya biashara kama petro station, apartment, Maduka n.k Kianuzwa 850M Mazungumzo yapo. Kwa mawasiliano zaidi unaweza piga namba 0674630975 Ama 0714 796 778 Karibuni sana
Back
Top Bottom