Nauza gari aina Toyota Sienta ya mwaka 2004 Rangi Metallic nyeupe ambayo bado haijasajiliwa, Gari ina DVD radio, ina Camera ya nyuma inakusaidia kuona ukiwa unarudi nyuma, ina nakshi ya fomaica kkwenye power window na Ac hole, ina alloy wheel sport, ina spoiler nyuma,,ina fog light . Bei ni...