Recent content by Actuality

  1. Actuality

    SoC02 Kesho ya Afrika ipo katika mtandao

    Moja katika andiko zuri nililowahi kuona hongera sana comrade
  2. Actuality

    SoC02 Tabasamu na Mwalimu

    Nimekupa kiroho safi kabsa maendeleo hayana chama
  3. Actuality

    SoC02 Kidawa

    “KIDAWA” UTANGULIZI Jioni kama saa 12 hivi na dakika zake, binti mrembo katika kijiji cha Mwembeni, akitoka kuchota maji kisimani ghafla wanatokea vijana wawili wenye nguvu wanamsimamisha na kuanza mazungumzo nae, kabla mazungumzo hayajaisha binti yule anatupa ndoo chini na kuanza kukimbia huku...
  4. Actuality

    SoC02 Kapungu

    Linatosha sana kaka hahahahahahahha
  5. Actuality

    SoC02 Kapungu

    “MANDONGA” UTANGULIZI Katikati ya kiwanja inapigwa pasi mpenyezo anakutana nayo mchezaji wa Insta united ambae ni namba tisa tishio, anapiga shuti kali ambalo uwanja mzima uliamini ni goli, anajitokeza golikipa kama nyani anaruka na kudaka mpira ule moja kwa moja huku kwetu tunaita kaumeza...
  6. Actuality

    SoC02 Nipe dili...

    “NIPE DILI” NYUMBANI Ni saa tatu asubuhi naamka napiga miayo aaaaaaaahhhhh, naamka toka kwenye kitanda cha nyumbani kwa mzee Wamwise, kinachoniamsha ni kelele za kufoka za mzee Wamwise na mkewe wakilalamika wajukuu zake kulala sana, na kelele za wapangaji wakiwa na shughuli zao mbalimbali za...
Back
Top Bottom