Recent content by Ability product

  1. Ability product

    Mjadala: Nini chanzo na tiba ya tatizo la upele kuota kwenye uume?

    Mimi ni kijana nina umri wa miaka 30, nasumbuliwa na tatizo la kuvimba uume, hali hiyo hutokea.ninapojamiina na mke wangu, tumepima magojwa ya ngono hakuna U .T .I hakuna, lakini DCT ameshauri kutumia dawa za INFECTION, hata hivyo kuna vipele ambavyo hutokea juu ya kichwa cha uume na utunga...
  2. Ability product

    Nina tatizo la kutopata hedhi kwa wakati, kwa mwaka naweza kupata hedhi mara tatu

    Jamani ndgu zangu mm Nina umri wa miaka 21 naomba msaada Nina tatizo la kutopata hedhi kwa muda mwingi Hali inayonifanya nikose Raha. Kwa mwaka napata Mara 3 tu. Na pindi ikitokea napata maumivu makali Sana na kichefuchefu Mara ya mwisho ilikuwa 30/12/2020 Hadi Leo sijaona Tena na Sina dalili...
Back
Top Bottom