Mimi ni kijana nina umri wa miaka 30, nasumbuliwa na tatizo la kuvimba uume, hali hiyo hutokea.ninapojamiina na mke wangu, tumepima magojwa ya ngono hakuna
U .T .I hakuna, lakini DCT ameshauri kutumia dawa za INFECTION, hata hivyo kuna vipele ambavyo hutokea juu ya kichwa cha uume na utunga...
Jamani ndgu zangu mm Nina umri wa miaka 21 naomba msaada Nina tatizo la kutopata hedhi kwa muda mwingi Hali inayonifanya nikose Raha.
Kwa mwaka napata Mara 3 tu. Na pindi ikitokea napata maumivu makali Sana na kichefuchefu Mara ya mwisho ilikuwa 30/12/2020 Hadi Leo sijaona Tena na Sina dalili...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.