Ok...now nimeelewa...
lkn kwa mfano huyo mwanamke soon alivojifungua amekaa baada ya miezi 3 ndo akapata hedhi kwa mara ya kwanza. hiyo hedhi ikakata baada ya cku mbili....
swali je, baada ya hedhi kukata siku mbili baadae (baada ya hedhi) akifanya tendo la ndoa atapata ujauzito???
Sent...
1) Je, kuna uwezekano wa mama aliyejifungua kupata ujauzito baada ya hedhi kutoka? (siku mbili baada)
2) Je, kuna madhara gan kwa mama anaye nyonyesha kutumia vidonge vya uzazi wa mpango? (Contraceptive pill)
Sent using Jamii Forums mobile app
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.