Ahsante, nazani Serekali ikiwakilishwa na wizara ya afya ilio chini ya Muhishimiwa Ummy Mwalimu inajitahidi na kuchukua kila hatua katika kupambana na hawa wamiliki wa maduka ya dawa wanaoajiri watu wasio na taaluma ya dawa, lakini pia jamii kiujumla ina wajibu wa kuwaripoti hawa wanauza dawa...
MATUMIZI SAHIHI YA DAWA.
Matumizi sahihi ya dawa.
Matumizi sahihi ya dawa ni ile hali ya mgojwa kupokea dawa sahihi kutokana na mahitaji yake (ya ugojwa), kwa dozi sahihi ambayo inaendana na mahitaji ya mwili wake au umri wake, katika wakati sahihi unaohitajika, na kwa bei nafuu ambayo yeye...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.