Recent content by abdalla22

  1. A

    Msaada: Nasumbuliwa na kitu kifuani ila hakiumi, nimetumia dawa bila kupona

    Shida yangu moja hapa kifuani upande wa kushoto ninahisi kama nina kitu ila hakiumi, nishakula dawa za gesi dozi 2, nishapima ecg ila ipo normal, dalili nyingine ninazopata ni uchovu kichwa kuuma baadhi ya muda na kizunguzungu baadhi ya muda.
Back
Top Bottom