Recent content by ABDalali

  1. ABDalali

    SoC02 Spana: Shemeji yako kafia kwako, utasikilizwa?

    Nashukuru sana Ndugu yangu. Tuendelee kupeana ushirikiano 🙏🏾
  2. ABDalali

    SoC02 Spana: Shemeji yako kafia kwako, utasikilizwa?

    Nashukuru sana Ndugu. Kama nilivyotanabaisha hapo awali na narudia - "Hadithi yangu ni hadithi ya mabadiliko. Hadithi inayoisimulia jamii kuupokea ‘ukweli kama ushauri’ na si ‘ukweli kama uadui’ "- ABDalali (SoC 2022)
  3. ABDalali

    SoC02 Spana: Shemeji yako kafia kwako, utasikilizwa?

    Nashukuru sana mwanajukwaa kwa kuipenda makala. Mwanafalsafa Aristotle alishawahi kusema "Kukosoa ni jambo tunaloweza kuliepuka kwa urahisi kwa kutosema lolote, kutofanya lolote, na kutokuwa chochote.” Nadhani upokezi wa wakosolewa sio jambo sisi tunapaswa kupata sonona nalo ndugu mchangiaji...
  4. ABDalali

    SoC02 Spana: Shemeji yako kafia kwako, utasikilizwa?

    Kwangu mimi pamoja na yote Hoja bora inahitajika iwe hoja shawishi. Hoja inayoleta muunganiko kuanzia mwanzo mpaka mwisho. Na sio lazima hoja hii itolewe na wanazuoni hapana. Waziri mkuu wa zamani wa UK Bwana Winston Spencer Churchill alisema 1947 na nakuu "Hoja bora kinzani dhidi ya demokrasia...
  5. ABDalali

    SoC02 Spana: Shemeji yako kafia kwako, utasikilizwa?

    Nashukuru sana kiongozi 🙏🏾
  6. ABDalali

    SoC02 Spana: Shemeji yako kafia kwako, utasikilizwa?

    “Nayeyuka huku nikiweweseka kiwendawazimu” ni kauli maarufu sana katika hizi juma chache zilizopita miongoni mwa watumiaji wa mitandao ya kijamii nchini Tanzania. Kauli hii inatumiwa sana na Mtanzania, Bwana Joramu Nkumbi aliyejizolea umaarufu katika mitandao ya kijamii kwa matumizi ya lugha...
Back
Top Bottom