Nyumba IPO mtaa wa Shirikisho
Kigamboni Mwembe mdogo mita 200 tokea stend
Na kilometa 15 tokea kivukoni
Call 0685392211
Document serikali ya mtaa na upimaji shirikishi umeshafanyika
Uwanja sqmt 560
Bei milioni 25)
Nauza shamba wilayani mkuranga kata ya vikindu kijiji cha malela.
Eneo lilipo kilometres 45 tokea city center mjini
Shamba lina nyumba za kisasa 4
Mabwawa ya samaki 8 na samaki kila bwawa samaki 10000
Kuna tank LA Lita laki moja likiwa limeunganishwa katika mfumo wa kisasa wa umwagiliaji
Pia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.