Recent content by Aaron Tebeka

  1. Aaron Tebeka

    SoC02 Hatua zinazochukuliwa kwa madawa ya kulevya zichukuliwe pia kwa wanaojichua(punyeto)

    Ni kweli kaka,hapo haina budi kusaidiana kwa sababu kuna watu waliingia kwa mihemuko tu ya ki umri sasa hivi hawajui wataponaje!
  2. Aaron Tebeka

    SoC02 Hatua zinazochukuliwa kwa madawa ya kulevya zichukuliwe pia kwa wanaojichua(punyeto)

    Ni vema hata watu maskini watazamwe sasa,mimi kwa kiasi kikubwa nalia na hili tatizo la kujichua kwa sababu kuna malalamiko mengi sana ya watu wakidai kuacha imekuwa tatizo labda pengine uwepo usaidizi maalumu ili wapate msaada. Au wewe unaonaje?
  3. Aaron Tebeka

    SoC02 Vipaji ndio Taifa la kesho

    Naombeni kura zenu Wadau!
  4. Aaron Tebeka

    SoC02 Hatua zinazochukuliwa kwa madawa ya kulevya zichukuliwe pia kwa wanaojichua(punyeto)

    KAMA ILIVYO KWA MADAWA YA KULEVYA IWE HIVYO HIVYO KWENYE PUNYETO(KUJICHUA) Suala la kujichua(Kupiga Punyeto) Au bakari nondo kama wengine Wasemavyo,Limekuwa ni tatizo kibwa Sana Ambalo limekiathiri kizazi Cha vijana Wengi na hata watu Wazima. Suala hili la Kujichua limekuwa likianza kuwaathiri...
  5. Aaron Tebeka

    SoC02 Vipaji ndio Taifa la kesho

    Nipende Kutanguliza Shukrani zangu za Dhati kwa Jamii Forums kutufanya Kuyafikisha Yaliyokuwa Vichwani Mwetu Kwa Jamii Hii kwa Manufaa Ya Taifa Letu. Katika Kutangulia kwa Makala Hii nianze kwa Kuelezea kidogo kuhusu kipaji. Kipaji ni Uwezo Ambao Anapewa Mtu katika kulifanya Jambo fulani kwa...
Back
Top Bottom