Recent content by 0768404968

  1. 0

    SoC02 Sensa ya watu na makazi 2022

    Maana ya sensa: Ni utaratibu wa kitakwimu wa kuhesabu, kuchambua na kutunza kumbukumbu za watu na makazi. Kwa mjibu wa sensa nchini Tanzania, ilianza baada ya nchi kupata uhuru. Hivyo imekuwa Kila baadae ya miaka kumi kunakuwa na zoezi la sensa ya watu na makazi. Sensa Ina umuhimu sana katika...
  2. 0

    SoC02 Elimu ya Tanzania iwe ni elimu inayoakisi mazingira ya Mtanzania

    Karibu kuchangia mawazo wadau, ni mara yangu ya kwanza kuandika makala. Hivyo nilipokosea karibu kunikosoa Ili siku nyingine nijitahidi wadau. Naomba kura Yako.
  3. 0

    SoC02 Elimu ya Tanzania iwe ni elimu inayoakisi mazingira ya Mtanzania

    Taasisi ya Elimu nchini Tanzania kwa kushirikiana na Serikali ya jamhuri ya muungano wa Tanzania inatakiwa ifanye maboresho hususani katika mitaala ya elimu, kuanzia ngazi za msingi mpaka ngazi za vyuo vikuu. Mitaala ya elimu inapaswa kuhusisha ufundishaji na ujifunzaji kwa vitendo na siyo kwa...
Back
Top Bottom